Maombolezo haya, yalijumuisha pia Mashairi ya Maombolezo ya huzuni, na kuangazia sifa za kipekee za Ali Akbar (a.s) – Kijana wa Imam Hussein (a.s) ambaye alitoa maisha yake kwa ajili ya dini ya Mwenyezi Mungu katika ardhi ya Karbala.

3 Julai 2025 - 23:59

Ali Akbar (a.s) – Kijana wa Imam Hussein (a.s) ambaye alitoa maisha yake kwa ajili ya dini ya Mwenyezi Mungu katika ardhi ya Karbala + Picha

Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Leo hii, Alhamisi usiku, 3 Julai 2025 - Maombolezo kwa ajili ya kumuenzi Bwana wa Mashahidi, Shahidi wa Karbala, Imam Hussein (a.s) yamefanyika katika Taasisi ya Kimataifa ya Al-Mustafa(s), Dar es Salaam, Tanzania.

Ali Akbar (a.s) – Kijana wa Imam Hussein (a.s) ambaye alitoa maisha yake kwa ajili ya dini ya Mwenyezi Mungu katika ardhi ya Karbala + Picha

Wahadhiri: Sheikh Salum Abbas na Sheikh Abdullah Likokwe.

Ali Akbar (a.s) – Kijana wa Imam Hussein (a.s) ambaye alitoa maisha yake kwa ajili ya dini ya Mwenyezi Mungu katika ardhi ya Karbala + Picha

Mada kuu: Ali Akbar (a.s),  Mfano wa kijana wa Kiislamu katika uaminifu, ujasiri, na kujitolea kwa ajili ya Haki.

Ali Akbar (a.s) – Kijana wa Imam Hussein (a.s) ambaye alitoa maisha yake kwa ajili ya dini ya Mwenyezi Mungu katika ardhi ya Karbala + Picha

Maombolezo haya, yalijumuisha pia Mashairi ya Maombolezo ya huzuni, na kuangazia sifa za kipekee za Ali Akbar (a.s) – Kijana wa Imam Hussein (a.s) ambaye alitoa maisha yake kwa ajili ya dini ya Mwenyezi Mungu katika ardhi ya Karbala.

Ali Akbar (a.s) – Kijana wa Imam Hussein (a.s) ambaye alitoa maisha yake kwa ajili ya dini ya Mwenyezi Mungu katika ardhi ya Karbala + Picha

Your Comment

You are replying to: .
captcha